Nina changamoto ya gari kuwaka kwa shida

Lyambasa

Senior Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
153
Reaction score
43
Nina changamoto ya gari kuwaka kwa shida, nimebadili spark plug, fuel pump na petrol filter pasipo mafanikio.. Naomba ushauri nipate pa kuanzia. Gari ni Suzuki Escudo old model.
 
Jaribu kutafuta fundi wa umeme ,kwanza fanya kipimo cha compresion test, then pima iginational coil spark ,zinatabia hiyo zikichoka huwa zinazingua sana kuwaka
 
Ahsante
 
Nina changamoto ya gari kuwaka kwa shida, nimebadili spark plug, fuel pump na petrol filter pasipo mafanikio.. Naomba ushauri nipate pa kuanzia. Gari ni Suzuki Escudo old model.
Oxygen sensor inatuma taarifa za hovyo mkuu fanya kama kunaspare hapo weka ingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…