Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Nimejikuta nachanganyika sana na jamii ya wasomi kuanzia kanisani, kwenye familia, kwenye mitandao mathalani JF, karibuni kila mtu ni graduate wakati mimi nimesoma tu elimu ya msingi na ufundi seremala VETA.
Nilishindwa kuendelea na chochote kielimu kutokana sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Tamainio langu nami niwe mtu kati ya watu kwenye jamii yangu nje ya elimu itakua sivyo.
Swali langu jamani kwa mwenye kufahamu kama cheti cha VETA naweza kundelea nacho elimu ya juu ikiwa nimeishia la saba?
Kila la heri!