sio good reason bwana ni lesson ...au nije tupike wote? umoja ni nguvu si unajua/ teh
Kuku wa Kidhungu au wa kisasa ?
NGOJA NIWAPE HILI...NILIPIKA JPILI.
msinilaumu mimi napenda kuku bana .. so leo nitawafunza jinsi ya kuitengeza. ni rahisi sana na auhitaji kuwa mpishi mtaalam wa kupika na ni poa sana ukimuandalia hasaa umpendae au familia na marafiki kwa jumla.
mahitaji
KUKU MZIMA WA KIZUNGU
TANGAWIZI MOJA KUBWA
VITUNGUU VIWILI VIKUBWA NYEUPE
KITUNGUU SAUMU
KARANGA - vijiko vitatu vyikubwa kile cha kulia ..teh usije weka cha kusevia ..loh!
MAZIWA NUSU KIKOMBE
NYANYA MBILI KUBWA
YAI MOJA LILILO CHEMSHWA
CHICKEN CUBE 1.
GARAM MASALA KIJIKO KIMOJA KIDOGO
MAFUTA YA MAJI YA KUPIKIA
procedure
kata kata vitunguu saumu, tangawizi, vititunguu maji na karanga, weka ndani ya kinu kisha twanga hadi utengeze thick paste na ziingiliane kuwa mchanganyiko mmoja
weka mafuta nusu kikombe kwenye sufuria kisha injika motoni hadi ipate moto kiasi kisha weka mchanganyiko wako wa vitungu na koroga huku ukiongezea maziwa kidogo kidogo hadi iive na kuwa rangi kama golden brown
chukua nyama yako ya kuku kisha weka ndani ya mkaango wako wa vitungu endelea kukoroga hadi nazo pia ziwe brown ya kungaa ngaa
baada ya hapo weka nyanya, garam masala, chicken cube, na chumvi kisha endelea kukoroga hadi mix ikauke kabisa na kuwa nzitoo!!
ongezea maji ya moto vikombe viwili kisha punguza moto, funika wacha itokote pole pole hadi nyama iive na kuwa laini. mchuzi wake pia utakuwa ni mzito kweli
baada ya chakula kuiva. kata kata yai laki slices nyembamba kisha kwenye bakuli unalopakulia kitoeo chako, changanyia humo humo kisha peleka mezani tayari kwa kula. inateremka poa ukila na chapati, ubweche- rice, ugali au mapotatoes..
ukishindwa ni pm wekend tugonge vitu! uje na kuku wako tu wawili maana mi mmoja hanitoshi loh!
kama mapishi yenyewe ndiyo haya, Talaka naiona ileeeeeeeeNGOJA NIWAPE HILI...NILIPIKA JPILI.

ngoja nitafute jiko kwa kweliNaona Smile umejiandaa kubishana na KFC,, nasikia wanakuja bongo kulisha wabongo kuku wao "Kentucky style" wanaowapa umaarufu worlwide..
Nina imani ukijipanga vizuri KFC wataisoma namba.. Wateja wote kwa smile..
Take opportunity ya kukamata marketshare mapema maana KFC soon anaanza kazi bongo,,, na akija KFC tu atakayefata ni Mac donald so wawahi mdada kipaji umekikalia hicho..
au kama le mutuz
Wanawake nanyi siku hizi mnatafuta jiko? Huyu Cameroon mbona ameleta maajabu Afrika?????ngoja nitafute jiko kwa kweli
Hapo mwenye bodaboda anaihurumia bodaboda yake.Hahahahaha, hapo lazima boda boda ibonyee