Nina courage ya kuwapigia: Naomba namba ya Ndungulile na DG wa TCRA

Nina courage ya kuwapigia: Naomba namba ya Ndungulile na DG wa TCRA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Naomba namba ya Dk Ndungulile na DG wa TCRA niwapigie. Naongea nao kwa wema tu na kumpa hoja yangu kuhusu makampuni yaliyogoma kutekeleza amri ya TCRA
 
Leo holiday.
Niliwahi kumpigia Bashiru mambo ya CCM kupora ardhi yangu , he acted promptly kuwaambai waache tabia hiyo baada ya kuinvestigate akakuta kuna uporaji
 
Natamani nikupe ndglile ana tumia tigo... Ila ngoja tuone hizo siku tatu walizo toa tcra
 
Back
Top Bottom