R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Apr 4, 2021 #1 Naomba namba ya Dk Ndungulile na DG wa TCRA niwapigie. Naongea nao kwa wema tu na kumpa hoja yangu kuhusu makampuni yaliyogoma kutekeleza amri ya TCRA
Naomba namba ya Dk Ndungulile na DG wa TCRA niwapigie. Naongea nao kwa wema tu na kumpa hoja yangu kuhusu makampuni yaliyogoma kutekeleza amri ya TCRA
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Apr 4, 2021 #2 Leo holiday.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Apr 4, 2021 Thread starter #3 Mad Max said: Leo holiday. Click to expand... Niliwahi kumpigia Bashiru mambo ya CCM kupora ardhi yangu , he acted promptly kuwaambai waache tabia hiyo baada ya kuinvestigate akakuta kuna uporaji
Mad Max said: Leo holiday. Click to expand... Niliwahi kumpigia Bashiru mambo ya CCM kupora ardhi yangu , he acted promptly kuwaambai waache tabia hiyo baada ya kuinvestigate akakuta kuna uporaji
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Apr 4, 2021 #4 Natamani nikupe ndglile ana tumia tigo... Ila ngoja tuone hizo siku tatu walizo toa tcra