Phdum
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 1,322
- 3,278
Habari waungwana,
Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya ant-D.
Sindano moja tu inauzwa laki mbili na elfu themanini kwa kipindi hicho na kweli alichoma. Swali ninalouliza hapa ni kwamba je atakapo pata mimba ya pili tena itabidi achome hii sindano?
Karibuni wataalamu wa afya