Kisu? Dah umetumia lugha kali sana, hakuna kisu kule operation room, panga tu uzazi wenu mjue lini mtapata mtoto mwingine angalau ipite miaka miwili ndio ashike nyingineThanks na je mwanamke aliejifungua kwa kisu (oparation) anatakiwa akae muda gan ndio apate ujauzito mwingine?
Nikiwa kama mdau wa afya seniorHabari waungwana. Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya ant-D. Sindano moja tu inauzwa laki mbili na elfu themanini kwa kipindi hicho na kweli alichoma. Swali ninalouliza hapa ni kwamba je atakapo pata mimba ya pili tena itabidi achome hii sindano?? Karibuni wataalamu wa afya
Atleast after 1 year kidonda kitakua kimepona, hapo ataweza kujaribu kujifungua kwa kawaida.Thanks na je mwanamke aliejifungua kwa kisu (oparation) anatakiwa akae muda gan ndio apate ujauzito mwingine?
Hapa sasa inategemea na umbali kati yako na yangu. Maana kwa sasa nipo ifakara but na kuna jamaa angu nae alikuwa hapa ila ye kahamia musoma je akihitaji connection kwa umbali huo?Nikiwa kama mdau wa afya senior
Ipo hivi
Ni lazima achome Kwa Kila ujauzito...
Mm nipo DSM,Hapa sasa inategemea na umbali kati yako na yangu. Maana kwa sasa nipo ifakara but na kuna jamaa angu nae alikuwa hapa ila ye kahamia musoma je akihitaji connection kwa umbali huo?
Kiutaratibu:Habari waungwana,
Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya ant-D.
Sindano moja tu inauzwa laki mbili na elfu themanini kwa kipindi hicho na kweli alichoma. Swali ninalouliza hapa ni kwamba je atakapo pata mimba ya pili tena itabidi achome hii sindano?
Karibuni wataalamu wa afya
Atimize miaka mitatu, ili kama sababu ya operation haikuwa ya kudumu aweze kujaribu kujifungua kawaida/trial of scar.Thanks na je mwanamke aliejifungua kwa kisu (oparation) anatakiwa akae muda gan ndio apate ujauzito mwingine?