God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Mkuu umeshazichoka kesi za wamasai nini?habari zenu ndugu zanguni mimi ni mwanasheria nina bachelor ya law nipo kilosa mjini (Morogoro) ndiko ninakofanya kazi nataka kuhamia Dar es salaam.
anaetaka tubadilishane nafasi jaman asisite kunitaarifu niko tayari mda wowote.
kama una ndugu, rafiki, mzazi au mlezi ni mwanasheria anatata kuhamia kilosa mjini mkoani Morogoro mwambie tubadilishane nataka kuhamia Dar es salaam.
natanguliza shukrani.
nashukuru sana kwa ku reply hakika unanipa mwangaza huyo seleman simba ni nani na yuko wap?Mkuu umeshazichoka kesi za wamasai nini?
Haina tatizo mwambie selemani simba akutafutie mtu hapo
mimi mgonjwa mkuu, dar nikizidiwa naweza hudumiwaDar kumejaa,Labda uje Makete