Nina Dharura nahitaji mkopo 6M kwa dhamana ya Gari

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,114
Reaction score
1,308
Habari wakuu?
Naamini Jf ni familia moja,nimepata dharura hivyo nahitaji milioni 6 tu nitatue tatizo langu,dhamana ni gari yangu mwenyewe...gari ni Toyota Wish,utabaki na gari mpaka nitakaporejesha pesa yako ndani ya wiki mbili tu.
Napatikana Dar es salaam
Riba tutaelewana.
Mwenye uwezo wa kusaidia tuonane pm
Asanteni
 
Gari gani mkuu
 
asa mbona husemi iyo gar ni aina gan! weka picha ili tukusaidie
 
Ungeweka picha ya gar
 
weka picha za gari kwanza.. na nakushauri tu bora uuze hiyo gari utatue shida zako ukikaa vizuri ununue ingine... maana hizi riba za mitaani ni hatari
 
Duh kumbe usitathmini kitabu kwa kuangalia jalada.

Hiyo Avatar nilidhani Umtoto wa Bakhresa.
 
weka picha za gari kwanza.. na nakushauri tu bora uuze hiyo gari utatue shida zako ukikaa vizuri ununue ingine... maana hizi riba za mitaani ni hatari
Ria ni jambo moja, kama dhamana inalipa unaweza kupata pesa ya kurudisha na bado ukasota kupata Gari yako...kuna Watu Wakora kaka, na hizo ndio shughuli zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…