Nina dhumuni na nia thabiti kujiingiza kwenye kilimo biashara

Nina dhumuni na nia thabiti kujiingiza kwenye kilimo biashara

Elias Manyasi

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
9
Reaction score
18
Habari,

Nina dhumuni na nia thabiti kujiingiza kwenye kilimo biashara! Bado ni mgeni kwenye hii sekta, kwa haraka nimepata wazo la kulima Matikiti Maji.

Je, ni zao sahihi na lenye faida kwa sasa!? Kipi cha kuzingatia!? Changamoto zake?

Ahsanteni na mbarikiwe.
 
Tikiti kwa sasa soko halipo sawa wazalishaji wamekua wengi wamezidi demand bt kama umeshaanza basi zunguka kwanza upate kufafaham soko lake ni risk kulima kwanza zao tunda thn ndio uhangaike soko utakua ahsant ya madalali
 
Back
Top Bottom