H H.M.MUYANGO Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 110 Reaction score 9 Apr 6, 2014 #1 Ndugu Wapendwa naomba msaada wa kujua namna ya kuanza kuomba chuo na mkopo ni kuanzia mwezi gani?maana mimi nina diploma nahitaji niweze kujiunga na vyuo kwa mwaka wa masomo 2014/2015!
Ndugu Wapendwa naomba msaada wa kujua namna ya kuanza kuomba chuo na mkopo ni kuanzia mwezi gani?maana mimi nina diploma nahitaji niweze kujiunga na vyuo kwa mwaka wa masomo 2014/2015!
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Apr 6, 2014 #2 subiri tu mkuu au fuatilia kwenye website
M majitta one JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 204 Reaction score 14 Apr 6, 2014 #3 time will tell