Nina diploma ya Civil Engineering natafuta kazi

Nina diploma ya Civil Engineering natafuta kazi

Master_Oogway

Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
12
Reaction score
6
Nina uzoefu wa miaka miwili as Lab technician nimefanya Bwawa la Umeme la mwalimu Nyerere.

Natafuta kazi as
Civil technician
Foreman
Lab technician
CAD technician

Nipo Dar es salaam
 
Uzi hapa uliandika vyema
Endelea kujazia.

Natafuta kazi ndugu zangu mwenye connection ya kazi nina uzoefu wa miaka miwili

Uzoefu miaka miwili as lab_technician pale Bwala la umeme Rufiji
 
Nina uzoefu wa miaka miwili as Lab technician nimefanya Bwawa la Umeme la mwalimu Nyerere.

Natafuta kazi as
Civil technician
Foreman
Lab technician
CAD technician

Nipo Dar es salaam
Hatutafuti kazi hivyo dogo,, ww umepiga Civil Engineering.. ambia watu nna project ideas kadha wa kadha .. au nshawahi brainstorm kuhusu design flan ya jambo fln na michoro unayo… CAD technician hujawahi hata siku brainstorm ur own design… unayoweza showcase kwa watu .. afu mwisho wa siku hapo Utaanza laumu mfumo wa elimu
 
Hivi man uko serious kweli? Unaandika kama demu anaejibu msg wakati anatongozwa? Wewe ndo una shida, badala ya kuandika kitu kinachoeleweka wewe unakuja hapa kuandika kama unatafuta mpenzi hapa. Pambana na hali yako, kazi zipo ila sio kwa uandishi huu kwakweli
Mwanangu maelezo si yapo hapo juu nimelekebisha au unayako
 
Hatutafuti kazi hivyo dogo,, ww umepiga Civil Engineering.. ambia watu nna project ideas kadha wa kadha .. au nshawahi brainstorm kuhusu design flan ya jambo fln na michoro unayo… CAD technician hujawahi hata siku brainstorm ur own design… unayoweza showcase kwa watu .. afu mwisho wa siku hapo Utaanza laumu mfumo wa elimu
Sawa nashukuru kwa maoni yako
 
Back
Top Bottom