Master_Oogway
Member
- Jan 20, 2017
- 12
- 6
Civil engineering upande upi? Una experience na nini? Upo mkoa gani/nchi gani? N. K n. KNina uzoefu wa miaka miwili natafuta kazi
Diploma ndiodiploma au sio........
Nina experiance ya Lab_ technician pia ninauzoefu na kazi za barabaraniCivil engineering upande upi? Una experience na nini? Upo mkoa gani/nchi gani? N. K n. K
Tayari nimejaziaNi kweli kabisa ungejazia jazia vitu bado haijakaa poa.
Uzoefu miaka miwili as lab_technician pale Bwala la umeme RufijiUzi hapa uliandika vyema
Endelea kujazia.
Natafuta kazi ndugu zangu mwenye connection ya kazi nina uzoefu wa miaka miwili
Civil technician
Foreman
Lab technician
CAD technician
mh sawa na diploma yakoDiploma ndio
Hivi man uko serious kweli? Unaandika kama demu anaejibu msg wakati anatongozwa? Wewe ndo una shida, badala ya kuandika kitu kinachoeleweka wewe unakuja hapa kuandika kama unatafuta mpenzi hapa. Pambana na hali yako, kazi zipo ila sio kwa uandishi huu kwakweliDiploma ndio
Hatutafuti kazi hivyo dogo,, ww umepiga Civil Engineering.. ambia watu nna project ideas kadha wa kadha .. au nshawahi brainstorm kuhusu design flan ya jambo fln na michoro unayo… CAD technician hujawahi hata siku brainstorm ur own design… unayoweza showcase kwa watu .. afu mwisho wa siku hapo Utaanza laumu mfumo wa elimuNina uzoefu wa miaka miwili as Lab technician nimefanya Bwawa la Umeme la mwalimu Nyerere.
Natafuta kazi as
Civil technician
Foreman
Lab technician
CAD technician
Nipo Dar es salaam
Mwanangu maelezo si yapo hapo juu nimelekebisha au unayakoHivi man uko serious kweli? Unaandika kama demu anaejibu msg wakati anatongozwa? Wewe ndo una shida, badala ya kuandika kitu kinachoeleweka wewe unakuja hapa kuandika kama unatafuta mpenzi hapa. Pambana na hali yako, kazi zipo ila sio kwa uandishi huu kwakweli
Sawa nashukuru kwa maoni yakoHatutafuti kazi hivyo dogo,, ww umepiga Civil Engineering.. ambia watu nna project ideas kadha wa kadha .. au nshawahi brainstorm kuhusu design flan ya jambo fln na michoro unayo… CAD technician hujawahi hata siku brainstorm ur own design… unayoweza showcase kwa watu .. afu mwisho wa siku hapo Utaanza laumu mfumo wa elimu