Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.

Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.

Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
first of all focus na stick kwenye kitu unacho kipenda , lkn pia kozi ziko nyingi sama it is not necessary kung'ang'ana na afya tu au science course pekee , kwa mtu wa PCB ana option ya ku extend na kwenda kwenye course mbali mbali , za finance , account , afya pia , baadhi ya kozi za uandisi n.k hvo focus kwamza na nini hasa unapenda unacho ona hatabukikifanya kinakupanuhuru na unakuwa confortable .. still una option kwenye second window kugusia course za kada nyingine
 
Kha! Kweli wacha wadhungu waendelee kututawala.
Kama bodaboda anathaminiwa kuliko mtu wa bsc mathematics physics na chemistry...aloooo tz ni nchi ya wajinga tujikite kwenye ngono tuu na uchawa
Mkuu mwenye bach ya chemistry huwezi mlinganisha na huyo wa physics kwa Tz coz chemistry practical ni nyingi ndio maana wanaajiliwa ata na viwanda vya baharesa na Tbs na wanalipwa vizuri sana ila kwa bach ya physics na math tz utakuwa mwalimu labda bahati ikuokoe.
 
Duh kumbe kwahiy nikijaribu kuomba kubadili nikaenda ya chemistry ni afadhali aw zote at least education?
 
Sasa ndiio maana nikamwambia dogo kuwa kama anataka kuendesha range rover na kugegeda warembo basi huko sio kwake.
 
Hakuna ajira ya physics ila Kuna ajira ya mwalimu wa phys, sikiliza kaka zako kuwa nenda kasome nursing au medical doctor kama uwezo upo.
 
Wewe kasome bwana nchi inahitaji watu kma nyie mzee mnashusha ma equations ya eistein pale...full matheory na namba kwa kwenda mbele....mzeya tunakutegemea uchukie nobel prize kwa physic mwaka 2050 usituangushe
Duuuuh apo ushanipiga bango tayari
 
Hvi nyie wazoefu hamuoni hata alternative ya kuishauri iliyopo UDOM najua nyie at least mna uzoefu mtaani
Unaweza ukasoma hio, ukishamaliza unasoma postgraduate ya ualimu mwaka mmoja tena, unakuwa mwalimu wa physics, vinginevyo bsc physics ajira hakuna, waliosoma wanajitolea kufundisha physics japo sio walimu. Na wengine wana vibanda
 
OoH kumb namba mbn sipendi mathematics sasa ety
Hao ndio wanapiga mahesabu ya insurance na mambo ya risk assesment mwanawane. Hapo namba tupu utafurahi

Ninae kijana kahitimu hapo h ha ha apo UDom ila kajiongeza anachezesha magemu ya watoto ha ha
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜ so poa duh
 
A
Unaweza ukasoma hio, ukishamaliza unasoma postgraduate ya ualimu mwaka mmoja tena, unakuwa mwalimu wa physics, vinginevyo bsc physics ajira hakuna, waliosoma wanajitolea kufundisha physics japo sio walimu. Na wengine wana vibanda
Anhaaa mana yake kumbe kwa badae unaweza kuifanya ikawa ualim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…