Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Acha uboya, Hiyo program akimaliza atarudi na theories na practicals Kama za advance tu

Sijuui vyuo vingine ila kwa UDOM hamna kitu hapo
 
Hakuna kozi hapo, badili haraka sana. Ni heri usome education kuliko hiyo bachelor of physics. Waulize waliosoma before hizo za Bioz, chem, science general etc...
Bora chemistry wanajulikana kazi zao, mara nyingi ni Quality assurance officer viwaandani.


Ila Bio, Physics, Math, yaani mtu anafika mwaka wa 3 hajui hata anasomea kazi gani
 
Sasa Kama vyuo vinatoa nafasi halafu tunapondea unadhani hiyo hali itaishaje wavumbuzi tunao vyuo tunavyo ila sijui watu tunafelia wapi

Yaani tatizo nimesh confirm nikijaribu ku unconfirm inagoma
Vyuo vinafanya biashara tu, UDOM college hiyo uliyochaguliwa (CNMS) Kuna program inaaitwa AQUATIC SCIENCE

Ukame wa Dodoma unafikiri mtu atasoma kwa vitendo?
 
Acha kufananisha elimu ya Bongo na nchi zilizoendelea.


Acha kufananisha vipaumbele vya nchi zilizoendelea na Bongo

Bongo hatuna kipaumbele cha utafiti na uvumbuzi
 
Acha kufananisha elimu ya Bongo na nchi zilizoendelea.


Acha kufananisha vipaumbele vya nchi zilizoendelea na Bongo

Bongo hatuna kipaumbele cha utafiti na uvumbuzi
SASA kama sio sisi tutakaoanzisha wote tukapondea unadhani tutatoboa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…