Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Mbona sherehe za mei mosi watu wanafanya makazini mwao bila shida. Na hii saba saba huku watu wanavaa na kwenda kutembea. Kutakuwa na ubaya gani nikiweka maonyesho?Kwamba na wewe una Serikali yako sasa ndani ha JMT?
Usijichetue watu wamalize 'awamu' na wewe.
Wewe endelea tu mkuu.Mbona sherehe za mei mosi watu wanafanya makazini mwao bila shida. Na hii saba saba huku watu wanavaa na kwenda kutembea. Kutakuwa na ubaya gani nikiweka maonyesho?
Nimeomba utaratibu. Nipe utaratibu mkuu.Wewe endelea tu mkuu.
Boresha kisha Pangisha ila usijitangaze wala kujaribu kurasmisha namna unayoisema.Nimeomba utaratibu. Nipe utaratibu mkuu.