Nina fangasi zisizo pona nahitaji msaada

Yawezekana ni uti sugu au hao hao fangasi

Unapaswa kubadili nguo za ndani hasa unapojitibia fangasi, vaa mpya zisikubane, kunywa maji mengi pia muhim usubiri ukimalize dozi ukae kidogo urudie tena na usikutane kimwili mpaka umalize dozi
 
Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote

Tumia white vinegar kujiosha kwa Bibi
No tiba ya uhakika kabisa na Utapona ....tumia asubuhi na jioni hiyo ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…