Blaros kida
Member
- Jan 29, 2013
- 50
- 2
the tyme will come to make my real life
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza na certificate, Pale, Chuo Cha Mipango Dom hukosi utendaji serikali za mitaaYeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate
Kufeli shule sio kufeli maisha
Sasa mbona unampa vidonge badala ya kumshauri afanyeje kwa kuwa maji yameshamwagika.kama wewe n member humu ilikuwa lazima ufelli. maana ukiona mtu yupo humu ndani ujue kashachezea mitandao ya kijamii mingi sana kitu ambacho kwa umri wako na elimu uliyokuwa ukiipata haviendani.. haya mamitandao yanawaharibini sana vijana. hapo ulipo unaweza kuwa umefungua page hata saba za mitanadao tufauti!!
Yeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate
Nunua ungo, nenda dukan nunua karanga na mifuko size ya kati rudi nyumban zikaange hzo karaga then zifunge hzo karanga kwenye hiyo! Tayari?
Ziweke kwenye ungo ulionunua,,, zibebe hizo karanga njoo nazo stendi! Kimbiza kila gari linaloingia na kutoka waambia karaga karaga karaga!
hahahahah,umenifanya nilog out kwa kicheko1Nunua ungo, nenda dukan nunua karanga na mifuko size ya kati rudi nyumban zikaange hzo karaga then zifunge hzo karanga kwenye hiyo! Tayari?
Ziweke kwenye ungo ulionunua,,, zibebe hizo karanga njoo nazo stendi! Kimbiza kila gari linaloingia na kutoka waambia karaga karaga karaga!
Nina C ya chemistry na yalyobaki yote D ila nashukuru kwa yule alyesema mitandao ndio source i know it big issue nifanyaje?ili nifke level zenu