Nina four ya 27 waheshimiwa!

Usijali, kwa matokeo haya ya mwaka huu hata wenye division 4 watapitishwa kwenda A level coz wakichukua div 1, 2 & 3 tu kuna shule zitafungwa kwa ukosefu wa wanafunzi!
 
Muulize Nape yeye alipenyapenyaje? Naskia ana masters!

Mkuu heri yake Nape ubalozi wetu kule kwa kina Govindar Kumar walimfanyia mpango kimagumashi pale Acharya, sasa sijui kama.huyu dogo anafahamiana hata na mwenyekiti wake wa serikali ya mtaa.Atafute certificate yoyote aanzie hapo. Ku re-sit imekuwa deal la NECTA
 
Yeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate
Nina C ya chemistry na yalyobaki yote D
BIG deal nifanyaje?

Endelea kuwemo jamvini. Uliwahi sana kuingia
 
Tatizo watoto wa siku hizi hamsikii, mkiambiwa kitu hamtaki kuelewa, rudi shule kasome, kama hutaki shule kauze njugu mawe
 
Kana-Ka-Nsungu;Usijali, kwa matokeo haya ya mwaka huu hata wenye division 4 watapitishwa kwenda A level coz wakichukua div 1, 2 & 3 tu kuna shule zitafungwa kwa ukosefu wa wanafunzi!

thangs for this coz u give hope!
 
Sijui kama ilo linawezekana,form four sio sawa na std 7 ambao wamepitishwa kuanza form 1 regardless of fail
 
Ndugu yangu kwa hiyo for four yako unaweza ukatafuta chuo chochote kikuu ukachagua kozi ya kusoma kwa kuanzia level ya Certificate na ukamaliza kisha ukaendelea na Diploma na mwisho wa siku utafanya Degree yako na hata Masters hadi PHD.
Tena ukianza na Certificate utaifanya kwa mwaka 1 kisha Diploma utaifanya kwa miaka 2 (isipokuwa kozi kama za medicine). Alafu utafanya na Degree yako kwa miaka 3.
Kwa hiyo usione kuwa ndio mwisho wa wewe kufanikiwa kielimu.
Na kosa kubwa katika maisha ni kukosa matumaini au kukata tamaa.
 
NEW NOEL;Ndugu yangu kwa hiyo for four yako unaweza ukatafuta chuo chochote kikuu ukachagua kozi ya kusoma kwa kuanzia level ya Certificate na ukamaliza kisha ukaendelea na Diploma na mwisho wa siku utafanya Degree yako na hata Masters hadi PHD.
Tena ukianza na Certificate utaifanya kwa mwaka 1 kisha Diploma utaifanya kwa miaka 2 (isipokuwa kozi kama za medicine). Alafu utafanya na Degree yako kwa miaka 3.
Kwa hiyo usione kuwa ndio mwisho wa wewe kufanikiwa kielimu.
Na kosa kubwa katika maisha ni kukosa matumaini au kukata tamaa.

BY NOEL NEW
ahsante Mkuu
 
malengo mdogo wangu, hata kobe hawezi panda mtini..ila akiomba apandishwe inawezekana...Tafuta chuo anza na cheti ,then diploma hadi degree...kama unaona ni lazima uende A LEVEL RUDIA PAPER INGAWA MUDA NI KITU CHA KUKIZINGATIA ZAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…