Nina four ya 27 waheshimiwa!

Nina four ya 27 waheshimiwa!

Blaros kida

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
50
Reaction score
2
Yeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate
Nina C ya chemistry na yalyobaki yote D
Big deal mawazo kutoka kwenu nifanyaje ?
 
wewe kama wewe unataka nini?maana mtu anaweza akakuambia fanya hivi kumbe huko haupo,ukaenda kwa kujilazimisha matokeo yake ukafeli
 
kwa matokeo ya mwaka huu umejitahidi, wewe ungependa kufanya nini?
 
We nenda kawe mvuvi tu bana.maswala ya shule huyawezi..
 
Nunua ungo, nenda dukan nunua karanga na mifuko size ya kati rudi nyumban zikaange hzo karaga then zifunge hzo karanga kwenye hiyo! Tayari?

Ziweke kwenye ungo ulionunua,,, zibebe hizo karanga njoo nazo stendi!
 
Malengo yangu ilikuwa form five kwa crdt za CBG ila ndo ishatokea hivyo na kwa kweli alisahihisha paper langu la GEO kaninyima chance of course niliwaza kwenye B
 
GOOGLE;Nunua ungo, nenda dukan nunua karanga na mifuko size ya kati rudi nyumban zikaange hzo karaga then zifunge hzo karanga kwenye hiyo! Tayari?

Ziweke kwenye ungo ulionunua,,, zibebe hizo karanga njoo nazo stendi!

mheshimiwa mawazo fake kama haya tutafika kweli !!
 
Nunua ungo, nenda dukan nunua karanga na mifuko size ya kati rudi nyumban zikaange hzo karaga then zifunge hzo karanga kwenye hiyo! Tayari?

Ziweke kwenye ungo ulionunua,,, zibebe hizo karanga njoo nazo stendi!

kama yupo dar alete huku ubungo tutanunua bei isizidi sh 100
 
Kosa langu liko wap mdogo wang! Umeomba ushauri nimekupa ni wajib wako kuukubali au kuukataa!! Mm ndo naona hiyo ndo inakufaa weng wametoka kwa kazi hiyo!
GOOGLE;Nunua ungo, nenda dukan nunua
karanga na mifuko size ya kati rudi nyumban zikaange hzo karaga then zifunge hzo karanga kwenye hiyo! Tayari?

Ziweke kwenye ungo ulionunua,,, zibebe hizo karanga njoo nazo stendi!

mheshimiwa mawazo fake kama haya tutafika kweli !!
 
Nunua ungo, nenda dukan nunua karanga na mifuko size ya kati rudi nyumban zikaange hzo karaga then zifunge hzo karanga kwenye hiyo! Tayari?

Ziweke kwenye ungo ulionunua,,, zibebe hizo karanga njoo nazo stendi!

Asizikaange zote, atuuzie na mbichi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom