Nina furaha-ghafla nimehisi kupona

Tumia Kinga wewe, Acha kabisa hii.
 
Ni kweli hili nilikumbuka Tyr nmeshacheza rafu-nilijiaminisha kuwa sabu ni kizuri sidhani kama kinaliwa hovyo hovyo, women wako very smart sana katka kuchagua watu wa kulala nao, ikiwa tu hana njaa ya pesa
Hiki ndicho kukitaja quadcopter, kadiri Mwanamke anavyokuwa mzuri ndivyo anavyoluwa sana.

Kama ulivyosema ulimla kirahisi basi na wengine Wana la hivyo hivyo tena wale wa rika lake ndio kabisa
 
Kupiga peku kuna raha yake ila kimbembe ni ngoma
Datz y Mimi demu Kama simuamini siwezi hata lala nae, nikiwa na mashaka nae Kuna gut flan huwa zinaniijia nikiforce sana mjegeje hausimami then unakuja kuskia gari limeshawaka siyo pow hii imenitokea mara mbili.
Kuna huyu wa mwisho tuliplan kila kitu, ila muda na siku ulivyofika nkawa kama nmesahau, nmekuja kukutana nae ananiuliza mbona hujjanitafuta nkamjibu nilisahau, na ni kweli nilisahau jambo ambalo si kawaida KWANGU kusahau kuwa Nina mechi si KWANGU tu wanaume wengi swala la kupewa mechi huwa tunazngatia sana ila ndo hivyo nilisahau kabsa, guess what after two months Baada ya kupotezana nilichokiona nilitetemeka hadi utumbo, kaisha kakonda😶😶
Na naamini kabisa angenipa ningepiga kavu, wenyeji wa maduka 9 Malimbe mnamfahamu but she is very beautiful kiukweli.
Nilivyouliza Kwa wadananda naambiwa Hilo pira lishawaka kitambo nilimshukuru MUNGU sana, siku zote naamini si Mimi Wala ujanja wangu ila yeye ananiepusha ili atimize kusudi lake la Mimi kuwepo duniani.🙏🙏
 
Watu wanapendwa nyie
Namjali sana japo ye ananiona kivuruge 😁😁 mzigo wa dhambi zangu niliona nisimbebeshe she is very innocent plus kanizalia vitoto vizuri viwili (Son & Daughter) vyote kanifanyia nilivyohtaji kwenye maisha bila kuomba. Imagine bila yeye hao watoto ningekuwa Sina na life bado gumu ila Kwa ajili yake watoto wapo na maisha yanaendelea, MAWAZO yangu nilishinikiza mimba zitolewe tena Kwa ugomvi mkubwa😁😁💔 ila hao watoto ukiwaangalia 🙏🙏😋
 
Safi sana.
Umuoe sasa
 
Hiki ndicho kukitaja quadcopter, kadiri Mwanamke anavyokuwa mzuri ndivyo anavyoluwa sana.

Kama ulivyosema ulimla kirahisi basi na wengine Wana la hivyo hivyo tena wale wa rika lake ndio kabisa
Siyo kweli average women ndo wanalika sana bro Fanya uchunguzi. Shida ya Hawa wanawake wazuri ni ngumu kukuta Yuko siku yeye ni bandika bandua.
Kwanini average wanalika sana, sabu wanategemea kumpa penzi mwanaume kumkamata au kumtuliza while upande wa pili hawategemei hiko zaidi ya uzuri wao na kwenye dm zao na mtaani wanapata compliment kibao
 
Muwe mnatumia KLY au lubes zingine kama unaona huna imani na mtu unayeruka naye
 
Aisee it's God protection.
Daah na yeye alikuwa anataka kukusambazia WTH aisee ndo ujue these chicks aren't trustworthy.

Mimi huwa na zingatia sana afya. Kama huwa nakuwa muwazi kwenda kupima. Ila nikiwa na haja za fasta natumia dhana
 
Hakika Kuna muda MUNGU anakulinda sema wanadamu huwa tunachelewa sana kujua, hatuna muda wa kutafakari mambo Kwa kina, datz y tunapaswa kushukuru tukikosa/tukipata🙏
 
Hakika Kuna muda MUNGU anakulinda sema wanadamu huwa tunachelewa sana kujua, hatuna muda wa kutafakari mambo Kwa kina, datz y tunapaswa kushukuru tukikosa/tukipata🙏
Hakina God over Everything
 
Hongera kwa kujali afya ya mke wako

Kila la heri kama utachepuka tena na tena
Kwani kazungumzia kuchepuka.!?

Nadhani kijana yupo kwa kujitafuta anafuta viktim wa huzuni. 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…