Nina furaha sana

enjoy pal .......ukipata muda wa kufurahia yale yanayojaza moyo wako yape na kumwagika kila la heri
 
...piga mzigo!ila angalia meter inasomaje?
 
Kwnye floor sawa,juu meza ya dinnin' sawa,jikoni sawa,dah cjui ntaoa lini namie ni enjoy hvi.nmechka kukimbzana na vitoto vya jangwni na ben mkapa sekondari.
 
Naenda kumuona mke wangu baada ya miezi mitano kuwa mbali na yeye kitu ambacho sio kawaida yetu... sasa ni mwendo wa kutembea uchi tu ndani

Yakupasa uwekeze wiki moja kabla ya kuja mkuu, kuna wajanja wanapima kama nzito au nyepesi (Povu)
 
ANGALIZO!usije msumbua jf doctorz kwa kutaka kupewa vidonge vya maumivu ya kiuno na mgongo kwa maana hiyo ni shughuli pevu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…