NINA FURAHA

NINA FURAHA

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Habari JF....jamani leo am soooo darn happy...hehe nimefurahi sanaaa nilipo log in nkajikuta nimekua jf expert member[emoji39] ...and i was thinking of that just few days ago...nlkua nimechoka kua senior member...[emoji41] [emoji41] [emoji41] nami nimekua expert sasa...hehe...
NB: najua kuna wataonichamba[emoji125][emoji125]
 
ukijua kucheza na akili ya mwanamke huta pata tabu kabisa.
anakwazika kwa jambo dogo na kufurahishwa na kitu kidogo zaidi.
hongera mamaa
Hahaha tuacheni lolz...sante pia
 
Hakuna atakaye kuchamba zaidi watakupongeza nikaanza na mie mwenyewe HONGERA SANA, sasa vipi shughuli wapi ya kujipongeza?😉
 
Hongera kwa kupata promotion na kuwa JFEM. Cheo hiki kina wajibu mkubwa sana 24/7. Hivyo hakikisha unatimiza wajibu wako mkubwa baada ya kupewa hiyo promotion. 😛😛😛

Habari JF....jamani leo am soooo darn happy...hehe nimefurahi sanaaa nilipo log in nkajikuta nimekua jf expert member[emoji39] ...and i was thinking of that just few days ago...nlkua nimechoka kua senior member...[emoji41] [emoji41] [emoji41] nami nimekua expert sasa...hehe...
NB: najua kuna wataonichamba[emoji125][emoji125]
k
 
Huwa sielewi kwanini haya mambo watu wanayachukulia siriaz sana...!!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hongera kwa kupata promotion na kuwa JFEM. Cheo hiki kina wajibu mkubwa sana 24/7. Hivyo hakikisha unatimiza wajibu wako mkubwa baada ya kupewa hiyo promotion. 😛😛😛

k
Anha asante kwa kuniambia....kwahiyo nisipokua online mda mrefu ntashushwa cheo????[emoji22]
 
Hongera mamy,
Naomba nikuandalie ka party kdg ujipongeze vizuri zaidi
 
Yes there is a possibility unless you've special permission from JFEM's Board of Directors😛

Anha asante kwa kuniambia....kwahiyo nisipokua online mda mrefu ntashushwa cheo????[emoji22]
 
Yes there is a possibility unless you've special permission from JFEM's Board of Directors😛
It won't happen this soon...i do stay online 24/7.... Labda mbeleni huko
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom