Nina fuso natafuta tender.

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
Wana jf, nina fuso yenye uwezo wa kubeba tani 10. Natafuta tender ya kufanya kazi inayolipa. Haijalishi inaenda wapi tanzania hii. Japo safari za karibu na dar zinapewa kipaumbele.

Mwenye taarifa au kuhitaji anipm tafadhali.
Nb: gari iko katika hali nzuri sana.
 
Duh unachagua kazi mkuu kulinda bodi ya gari? nijuavyo mimi inatakiwa utafutwe na si kutafuta kazi.

 
Duh unachagua kazi mkuu kulinda bodi ya gari? nijuavyo mimi inatakiwa utafutwe na si kutafuta kazi.

Kuchagua kazi muhimu mkuu. Hayo ni mambo ya kudiscuss na mteja atakapotokea.
 

untoza bei gani mfano;
1. kutoa mchele mbeya gunia 50, @kg100
2. kutoa mchele ifakara gunia 50. @kg100
 
Fuso haina dili kwa wakati huu wewe kapakie mkaa kabuku ulete mjini!!!!!!! Vinginevyo niuzie kwa milioni 7 zipo cash !!!!!!!!!!!!!!
 
lije kunibebea vyombovyangu vya kitchen party december
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…