Nina gari aina ya Noah nataka kuanza biashara ya kubeba abiria, naomba kujua njia gani ina wateja wengi

Nina gari aina ya Noah nataka kuanza biashara ya kubeba abiria, naomba kujua njia gani ina wateja wengi

alcacer

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
238
Reaction score
203
Habari za muda huu.., nakuja mojaKwamoja kwenye mada kuna gari ya Home ni ya mshua aina ya noah nataka nianze kupiga ruti za kutafuta hela ila sijui paKuanzia.

Nipeni ruti za kupiga hela au kama kuna madereva wenye experience ni ruti zip zina hela.

AHSANTENI SANA PIA NAWAKALIBISHA PM.
 
Bukirasazi kwenda Bujumbura utapata vichwa vingi sana Bugumbasha, Musave, Rusagara mpaka Mumuri 🐒
 
Bukirasazi kwenda Bujumbura utapata vichwa vingi sana Bugumbasha, Musave, Rusagara mpaka Mumuri [emoji205]
Du Burundi hiyo kamanda ningeanza kwanza hapa nyumbani. Dar
 
noah ya faza ipo complete site za nyuma zipo
Nitakupa michongo mingi hapa mjini na mikoani kuna dili saivi za kubeba maiti za covid19 kupeleka Moshi ndio zinahela kwa Sasa nitakucheki pm
 
Back
Top Bottom