Nina gari aina ya Noah nataka kuanza biashara ya kubeba abiria, naomba kujua njia gani ina wateja wengi

[emoji38][emoji38][emoji38] Dunia ina mambo [emoji119][emoji119]
Ntakupa michongo mingi hpa mjini na mikoani Kuna dili saivi za kubeba maiti za covid19 kupeleka Moshi ndio zinahela kwa Sasa ntakucheki pm
 
Noah utaichosha tu mkuu, tafuta sùcceed/probox. Tarime vipo vingi vina roho ngum kinoma
 

Kama lipo vizuri, litumie kwa kukodisha watu wa harusi hivi
 
Habari za muda huu...

Nakuja kwenye mada mojaKwaMoja home hapa kuna Gari ya mshua aina ya noah nataka nianze kuifanyia kazi lakini sijui pakuanzia Mnisaidie ni ruti gani zina hela kwa hapa DSM najua humu kuna experienced Drivers naomba mwongozo..! NAWASILSHA.
AHSANTENI NAWAKALIBISHA PM.
 
Cheki route zenye shida ya usafiri, mfano kuna Noah zinakuwepo Kkoo- Gerezani pale jioni, wanabeba vichwa vya kwenda Mbande, Chamazi etc.

Jaribu kufanya utafiti kama inalipa lkn
 
Kabla ya kukushauri Noah yako ina engine ya litre ngapi? Na ni 4 wheel au all wheel drive?
 
Umejaribu kujiuliza kwanini huzioni zikisafirisha watu mjini?...au unadhani wewe ndo wa kwanza kuwa na hilo wazo?
 
Siku nyingine taja location unayopatikana wewe Ili iwe rahisi kusaidika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…