Nina gari aina ya Noah sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe

Nina gari aina ya Noah sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe

alcacer

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
238
Reaction score
203
Habari za muda huu.

Nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee, nina gari aina ya Noah sasa sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe hata route za kupiga hela au hata ishu za private, kama kuchukua watoto wa shule NK.

ASANTENI..
 
Lete picha kwanza isije ikawa mbuzi kwenye gunia
 
Back
Top Bottom