alcacer JF-Expert Member Joined Apr 16, 2021 Posts 238 Reaction score 203 Oct 26, 2021 #1 Habari za muda huu. Nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee, nina gari aina ya Noah sasa sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe hata route za kupiga hela au hata ishu za private, kama kuchukua watoto wa shule NK. ASANTENI..
Habari za muda huu. Nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee, nina gari aina ya Noah sasa sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe hata route za kupiga hela au hata ishu za private, kama kuchukua watoto wa shule NK. ASANTENI..
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 26, 2021 #2 Ibadilishe iwe gari ya kubeba maiti
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,756 Reaction score 5,250 Oct 26, 2021 #3 Lete picha kwanza isije ikawa mbuzi kwenye gunia