teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Nina gari aina ya Noah sr40 imenitesa sana kwa upande wa breki, breki zake zina jam miguu ya mbele na nimesafisha piston lkn tatizo liko pale pale yaan sina raha kabisa na hii gari, mwanzoni breki zilikuwa za kurudi mara mbili au tatu ndo zinashika lkn baadae nilipobadilisha master mambo yakaharibika zikawa zinashika sana hadi natamani niirudishe ile mbovu bora nirudie hata mara saba kuliko jam iliyopo kwa sasa