teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Ofcourse, kama fundi hakufanya hilo itakuwa ni kituko, ni sawa na ubadilishe brake linings kwa gari zinazotumia drum halafu usishushe rod.Baada ya kubadili master cylinder ulipaswa kufanya pushrod adjustment
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu hili tatizo linatokeaga kwenye noah tuu coz hii case nmeisikia sanaaaWell, kuna kitu ambacho hata mafundi si rahisi kugundua, ni kwamba zile tube za mafuta ya brake za rubber ambazo ndio zinaingiza mafuta kwenye pistoni za breki (caliper) zinakuwa zimevimba kwa ndani na kufanya njia kuwa nyembaba, kwahiyo ukikanyaga brake kwa kuwa unatumia nguvu ya master cylinder yale mafuta hupitabkwa pressure na kukamata brakes kwa excessive force, na kwakuwa mafuta hurudishwa yenyewe kwa recoil ya caliper, basi hushindwa kurudi kwa sababu recoil haina force ya kutosha kuovercome blockage ya pipe kama ilivyo kwa booster ya master cylinder, hivyo brake pads zinang’ang’ania kuibana disc, na hapo ndio gari tunasema ime-jam brakes, na hata ubadilishe nini hiyo jam haitaondoka, ni kubadili hizo hose tu. Sasa tafuta fundi aichunguze gari ikiwemo hizo rubber pipes za mafuta ya brake nilizokuambia ili kujiridhisha.
Gari yeyote inayotumia fluid brake system na ambapo kuna rubber hose kwenye hiyo systemKwani mkuu hili tatizo linatokeaga kwenye noah tuu coz hii case nmeisikia sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaNdo maana naonaga madereva wa noA wanakimbia hovyo kumbe tatizo Ni breki
Hongera, maelezo mazuri.Well, kuna kitu ambacho hata mafundi si rahisi kugundua, ni kwamba zile tube za mafuta ya brake za rubber ambazo ndio zinaingiza mafuta kwenye pistoni za breki (caliper) zinakuwa zimevimba kwa ndani na kufanya njia kuwa nyembaba, kwahiyo ukikanyaga brake kwa kuwa unatumia nguvu ya master cylinder yale mafuta hupitabkwa pressure na kukamata brakes kwa excessive force, na kwakuwa mafuta hurudishwa yenyewe kwa recoil ya caliper, basi hushindwa kurudi kwa sababu recoil haina force ya kutosha kuovercome blockage ya pipe kama ilivyo kwa booster ya master cylinder, hivyo brake pads zinang’ang’ania kuibana disc, na hapo ndio gari tunasema ime-jam brakes, na hata ubadilishe nini hiyo jam haitaondoka, ni kubadili hizo hose tu. Sasa tafuta fundi aichunguze gari ikiwemo hizo rubber pipes za mafuta ya brake nilizokuambia ili kujiridhisha.
Sio kila muda ukubadilisha master cylinder unataka kufanya hivo, unaweza kupata master amabyo ipo sawa kabisa na ile iliyotoka na ikakubali tu,Baada ya kubadili master cylinder ulipaswa kufanya pushrod adjustment
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kupata shida kama hii, kwenye land rover 109 miaka hiyo mafundi ni shidaGari yeyote inayotumia fluid brake system na ambapo kuna rubber hose kwenye hiyo system