G Gramunyo Member Joined Mar 23, 2018 Posts 45 Reaction score 18 Mar 23, 2020 #1 Wakuu kwema, nina gari yangu aina ya GX 100, tatizo lake inavuta upand mmoja hasa unapokuwa kwenye barabara ambayo haijanyooka. Nishapima balance na kubadilisha bush zote huko chini lakini bado tatizo haliishi, mwenye utaalamu anipe msaada plz
Wakuu kwema, nina gari yangu aina ya GX 100, tatizo lake inavuta upand mmoja hasa unapokuwa kwenye barabara ambayo haijanyooka. Nishapima balance na kubadilisha bush zote huko chini lakini bado tatizo haliishi, mwenye utaalamu anipe msaada plz
displayname JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,972 Reaction score 1,085 Mar 23, 2020 #2 Tafuta fundi aendeshe gari kiasha atakwambia nini tatizo! pole,
G GersonTz Member Joined Jan 6, 2020 Posts 51 Reaction score 62 Mar 24, 2020 #3 Badili engine weka ya Yutong au Scania, au uikate pick up, itapendeza Sent using Jamii Forums mobile app
Badili engine weka ya Yutong au Scania, au uikate pick up, itapendeza Sent using Jamii Forums mobile app
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Mar 24, 2020 #4 Duuuh GersonTz said: Badili engine weka ya Yutong au Scania, au uikate pick up, itapendeza Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh GersonTz said: Badili engine weka ya Yutong au Scania, au uikate pick up, itapendeza Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
G Gramunyo Member Joined Mar 23, 2018 Posts 45 Reaction score 18 Mar 24, 2020 Thread starter #5 GersonTz said: Badili engine weka ya Yutong au Scania, au uikate pick up, itapendeza Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa asante kwa ushauri wako
GersonTz said: Badili engine weka ya Yutong au Scania, au uikate pick up, itapendeza Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa asante kwa ushauri wako
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Sep 6, 2021 #6 Gramunyo said: Sawa asante kwa ushauri wako Click to expand... Mrejesho?