black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,244
Habari ndugu
Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha unaweza ukaweka maji ukaenda umbali flani ukicheki maji unakuta yameisha kabisa na kupelekea kuchemsha
Na pia ukiwasha ac ukienda umbali kidogo unakuta maji yameisha yote na gar inazima ghafla
Gari sijawah fungua injin Wala kuigusa tangu nimenunua
Ila Kuna kipind nilikuwa natumia maji Kama coolant
Naomben ushauri wenu wadau
kilicho akilini kitumie
Kwanini uliacha kutumia coolant na ukaamua kutumia maji kama kipoozesho cha engine yako? Hapa ndo huwa shida inaanzia kwa wabongo wengi na magari yao siku nikipata mda nitakuelezea umuhimu wa kutumia coolant kwa ajili ya kupoosesha engine na kwann maji hayafaiHabari ndugu
Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha unaweza ukaweka maji ukaenda umbali flani ukicheki maji unakuta yameisha kabisa na kupelekea kuchemsha
Na pia ukiwasha ac ukienda umbali kidogo unakuta maji yameisha yote na gar inazima ghafla
Gari sijawah fungua injin Wala kuigusa tangu nimenunua
Ila Kuna kipindi nilikuwa natumia maji kama coolant
Naombeni ushauri wenu wadau

Hiyo coolant ni kusafisha njia za reguator tuu sio kwamba bila hiyo ndio gari litachemshaHabari ndugu
Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha unaweza ukaweka maji ukaenda umbali flani ukicheki maji unakuta yameisha kabisa na kupelekea kuchemsha
Na pia ukiwasha ac ukienda umbali kidogo unakuta maji yameisha yote na gar inazima ghafla
Gari sijawah fungua injin Wala kuigusa tangu nimenunua
Ila Kuna kipindi nilikuwa natumia maji kama coolant
Naombeni ushauri wenu wadau
kilicho akilini kitumie
Kwanini uliacha kutumia coolant na ukaamua kutumia maji kama kipoozesho cha engine yako? Hapa ndo huwa shida inaanzia kwa wabongo wengi na magari yao siku nikipata mda nitakuelezea umuhimu wa kutumia coolant kwa ajili ya kupoosesha engine na kwann maji hayafai
Shukran mkuuFuata yafuatayo!!
Kabla ya kuwasha gari weka maji na utazame kama yanapungua.
Yakiwa yanapungua tazama wapi yanapitia hasa angalia zile kava za rejeta ni za plastiki huenda zimeweka nyufa.
Kama hayapungui
Funika mfuniko na washa gari kisha piga less kwa muda kama wa dkk 5 hadi 10
Tazama mfuniko wenyewe au endelea kutazama kava.
Kama hayapungui,endelea kupiga less na sikiliza kama feni inapoza rejeta.
Tazama pia mtungi wa hifadhi ya maji kama unatunza maji ya kureplace au kupoza rejeta.
Angalia gear box yako inabadili gear inavyostahili!!!
Kama la badili geabox oil huenda injin na geabox haziwasiliani ktk mwendo.
Je rejeta ni safi??
Huenda njia zimeziba hivyo mzunguko wa maji ktk rejeta ni mdogo.
Asante.Mawazo yangu ni hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukranNenda kwa fundi radiator mkuu hapo mimi ninayo Surf hua inasumbuaga hivyo hivyo ila mara nyingi mimi radiator hua inakua chafu maana njia zake za radiator ni nyembamba...mimi leo nilikuta maji yote yameisha kwenye coolant reservoir
Nitalifanyia kazNiongezee hili nilsahau,kagua mikanda inayozungusha feni.Kama imekauka au kulegea,feni halitafanya kazi ipasavyo na itasababisha hicho kinachotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli. Kuna mtu namfahamu mafundi wake waliwahi kumrubuni akatoa coolant na kuweka maji ya uhai, kwa ushauri kuwa maji ya uhai ni mazuri kuliko coolant, wakati kumbe siyo. Kumbe walikuwa na mpango wa baadaye kuja ku-temper na engine ya gari yake, walishaisikiliza kwenye muungurumo na namna gari inavyotembea, wakajua injini ya gari lake ni nzuri sana. Kilichotokea baada ya kubadilisha coolant, water pump ilikufa ikabidi anunue nyingine, na hatimaye akarudi tena kwenye coolant. Sasa hivi walikuwa na mpango wanamshauri abadilishe Gasket za injini, wakati injini ina nguvu sana na haina tatizo jingine lolote. Mafundi hawa wana mtandao wao pia kwa kushirikiana na kule ambako huwa anafanyia service gari llake.Lingine unapotumia maji badala ya coolant kupooza engine unaifanya thermostat kupata kutu mwishowe kujam na kuzuia mzunguko wa maji
Sent using Jamii Forums mobile app