Tayari mkuuNi email no yako nikuunge
Mh tuwe Malini jamani nyakati siyo salama hizi namba Tena?Ni email no yako nikuunge
Mimi binafsi nilikuwa napenda sana kusoma vitabu, lkn toka mambo ya TV haya yaje aisee nomeacha kabisa. Zaman nilikuwa nikisafiri pale Ubungo nanunua kitabu cha kisoma humo kwenye basi.Tulifanya research ya kwanini watanzania hatuna desturi ya kupenda kujisomea.
Anyways tusome wakuu
NinachoMimi nasaka HEKAYA ZA ABUNUWASI, watoto wangubwadogo waanzie huko kujifunza kusoma vitabu
Vitabu vya picha za 'X' vipo?Nafanya hii kazi kwa kujitoleaa kabisa!!Maana hela za kuipa jamii sina basi nitawapa maarifa!
Nimeona nianze kufanya Philanthropy kama sehemu ya kuisaidia jamiii kimaarifa na kufungua Bongo!!….
Ni mm rum28
Email:enatmedics@gmail.com
Maoni yako plz
Nipasie mkuuNinacho