Tafuta watu wa zamani kidogo wakupe ustadi wa kutongoza. Sisi wa sasa kwa kweli hatuna ujuzi huo kwani siku hizi kina-she hawapendi kupotezea watu muda kwa kujifanya hawataki. Sina kumbukumbu hata huyu mke wangu kama nilimtongozaga, kwa sababu hata sikumbuki tulianza anzaje mpk yakatukuta haya ya kuishi pamoja.