Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 254
- 351
- Thread starter
-
- #21
Wewe utakuwa unaishi Dar.
Dar kuna tatizo kubwa sana la lishe.
Nenda Pharmacy kanunue vidonge vya "Vitamin B Complex" utumie.
Usipopona kapime "Ngwengwe".
Na hakuna nafuu yoyote ?Nishatumia vitamin B dozi mbili, na Ngoma nilipima. Baadhi wanasema ni aleji
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu pia mimi ninatatizo kama hilo, kuna mdau kaweka picha hapo juu, picha no1 ndio ulimi wangu ulivyoadhirika.Oral Candidiasis:Tumia fluconazole au clotrimazole
Sent from my iPhone using JamiiForums
no.1 ulimi wangu umeadhilika hivyo. Ushauri wako tafadhaliView attachment 1014057View attachment 1014058
1 2
View attachment 1014059
3
tatizo lako linafanana na pich namba ngapi?
mkuu pia mimi ninatatizo kama hilo, kuna mdau kaweka picha hapo juu, picha no1 ndio ulimi wangu ulivyoadhirika.
Hayo ni maradhi ya Fangasi kwenye ulimi huwezi kupona kwa kutumia Vidonge vya Vitamin C nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.Nina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi ambao umefanya nihisi kama ulimi umeungua na chai yamoto vile.
Nimejaribu kwenda kwenye Duka la dawa nikapewa vidonge vya vitamin C.
Nimetumia Kwa siku tatu bila mafanikio zaidi nakua kama natokwa na vijidonda vya mbalimbali kwenye nyama ya ndani ya lips kitu kinachonipelekea kupata maumivu Fulani ya ulimi na kinywa especially wakat wa asubuhi.
Mwenye welewa na tatizo hili au ambaye amekwishawahi patwa na aina hii ya ugonjwa anijuze ni Aina gani ya dawa naweza kutumia for better results.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muone daktari.no.1 ulimi wangu umeadhilika hivyo. Ushauri wako tafadhali
Ni kweri hii ni geographic tongue but ni sawa na kuota mvii. Inamaana haina tiba wala haina dawa. Iliwahi nisumbua 2009 hadi nikakutana na Dr mmoja dar akanipa maelezo hayo ni sawa na kuota mviii .geographic tongue (migratory glossitis) :tumia oral prednisolone au dexamesothone ointment pia tembelea vituo vya afya kwa ushauri nasaha
Sent from my iPhone using JamiiForums