Nina hamu na uji wa ulezi....

halafu nyie mbona hamji kwenye sredi ya mndeny kule......@ Kimey.....nasinzia nikikuwaza.......@ Kaizer....nikikushika

Iko wapi hiyo? ukinishika tunashikamana tu.....lol,,,,umeshapika uji wa shanga?
 
bibi wee...una visa....halafu tabia ya kutokupokea simu siipendi
Ooh nisamehe buree bure yani leo nlikua tite kimtindo c unajua mwinsho wamwezi kuandaa niaje niaje za watu, wale magabachori walikua wamenibana kiaina vipi lakini za huko?
 
Ooh nisamehe buree bure yani leo nlikua tite kimtindo c unajua mwinsho wamwezi kuandaa niaje niaje za watu, wale magabachori walikua wamenibana kiaina vipi lakini za huko?

Mamushka....
 
halafu nyie mbona hamji kwenye sredi ya mndeny kule......@ Kimey.....nasinzia nikikuwaza.......@ Kaizer....nikikushika

Mama, nimeupenda utani wenu. U've made my evening!
 
Tobaaaa....wapi OPP is this what you asked or you just got more that you expected? hahahaha
haa haaaa jamani is just uji wa shanga but im sure akipikiwa na preta akanywa mh sijui mi sina msaada.
 
sasa nyie ambao mnataka kunywa uji wa shanga.....nipeni idadi yenu ili nijue ninapika kiasi gani.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…