Nina hamu na uji wa ulezi....

mtoto wakike mzima? Nimekuta umenitwangia ila sikuweza kukutwangia back, naomba tuongee luch time eeh mama eeh.

hivi invii hiyo chat room inakuwaje....unaona sasa mambo ya chumbani tunaleta sebuleni....ni haki kweli?
 
pole sana bi dada....uji huo unapatikana mjini....nitembelee nikupikie
mwambie kama hajui na uji huo hupendeza sana kunywewa jioni jua likiwa limezama na sehemu yenye utulivu ndo unashuka vizuri.
 
Ili upate uji,safi na kwa haraka ugua halafu ulazwe theni utaletewa wa kila aina vinginevyo sijui unaupataje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…