mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Nafasi kubwa ya urais ninaamini ni mpango wa mwenyezi Mungu ila Je, tangu utoto wao hawajaahi kuoteshwa jambo lolote linaloashiria mamlaka hayo makubwa duniani na Je, wao huwa na mawazo kama yetu au wanakuwajekuwaje maana Rais anaweza kuagiza watu wote wasitoke nje na wasitoke sasa ni wazi kuna nguvu kubwa katika sauti yake iliyowezeshwa na Muumba mwenyewe.
Wao wana maoni gani juu ya kuwa na vyeo vikubwa ni bahati au wanasiri kubwa sana ya Muumba, haijalishi mana wapo watu wasiotarajiwa ila walipata urais kama Hittler, Idd Amin na wengine. Katika maongezi ya kawaida na marafiki zao huenda wanaulizana unajihisi vipi kuwa mkuu wa nchi wao huwa wanajibuje?