Nina hamu ya nyamachoma

mbona kwa kisamo ndo bomba kwa nyama choma kwa foil!!
 
I wish I could be there, nice time guys ila kumbukeni kesho ni siku ya kazi!
 
Mkubwa toa direction tuje tupate maji mpaka kuchee
 
mie napajua kwa RG huyo kisamo sina uhakika, ni pale nyuma ya best bite kwenye gereji ya mabenzi?
 
Mi ndo natoka vipi naruhusiwa uwahi nikaanze na moja bariiidiiii ila mimi itabindi nisindikize na St. Anna then nimalizie na Valuuuuuuuuu.......DN nitangulie....
 
mie napajua kwa RG huyo kisamo sina uhakika, ni pale nyuma ya best bite kwenye gereji ya mabenzi?

Mkuu,

Nyama choma zinapatikana NJE ya jiji:

Tegeta (Fairway), Bunju (Kibila), Airport (Highway), Tabata (Baracuda), Mbagala (Rangi Tatu), Kigamboni(Pale nanniii), Temeke/Chang'ombe (RV), Mbezi/Africana (T-Square/Nyamachoma/Nguruko), Kimara (Kuanzia Lavena hadi Luguruni Park)
 

Mkuu nakuuunga mkono, lakini kwa leo ni RG kwani hata nyauba ameingia mitini
 

Mkuu nakuuunga mkono, lakini kwa leo ni RG kwani hata nyauba ameingia mitini

leo nina miadi mitaa ya Kinondoni (Babuu), nitakuja kukuunga mkono - niagizie "pande" na serengeti baridi
 

Hii kitu imekaa poa sana.... Sasa kwa nini tusifanye ijumaa mkuu? maana sisi wengine tukila maji ya mende gari kesho yake haiwaki ina park home.
 
DN, jana udhuruu leo vipii..kwa kisamoo hapo nyuma ya best bite (kibo bar) kwenye garage ya mabenz utanikuta 3pm..nitakuwaa na ndovuu baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…