Nina hofu huenda nimeambukizwa UKIMWI, Naombeni ushauri wenu jamani!

Wewe kweli bado limbukeni aliyekuambia ukimwi una ambukizwa kwa tendo moja nani? Kama ingekuwa hivyo watu wote wangekuwa na virusi. Hizo stress zako ndiyo maana unasikia unaumwa, na usipo angalia hizo stress zitakua na wala co ukimwi. Acha ujinga ondoa stress
 
Kama huamini vipimo ndugu yangu utaamini ushauri?ambao huupimi ni wa dhati au kejeli?relax
 
Ni kweli umeathirika, na una UKIMWI wa mawazo. Kwa bahati mbaya sana, unaweza kukuua haraka kuliko UKIMWI unaosababishwa na HIV. Pole sana kwa homa hiyo. Wahi kwa washauri nasaha.
 
Wallahfloraaaa tatizooo awajuiikiasoochakunywaaaaa
Mandenyi wakatimwingjnee mijianaumeinaboreee
 
Ushauri:
Wahi mapema kumwagia dushe kwa konyagi au kiroba,.japo inauma
 

Mkuu ulipiga mama Mingoi nini....!!!
 
Pole, Mungu ni wa msamaha. Amini umesamehewa. Amini pia kuwa hujaambukizwa. isipokuwa lipo pepo la mauti linataka kukuua kwa hofu. Kama wewe ni mkristo, kemea hofu kwa jina la Yesu. Waweza kushirikisha wengine pia kuomba pamoja nawe. Kumbuka pia hofu ni mlango wa mapepo kukushambulia. Pole sana. Wewe ni mzima.
 

Hiyo tiba ni ya kienyeji. nimekuwa nikitumia dawa za hospital kutibu vidonda vya tumbo lkn cponi ndo maana niliamua kutumia miti shamba.
Labda tu nikuambie kwamba nilipata stress sana hadi moyo ukaanza kupanuka ila namshukuru Mungu nilipata dawa naendelea vizuri kwa sasa, hofu yangu ilikuwa ni hilo tu. dhambi hz acha tu.
 
Nikweli natakiwa kufanya body check up, kwa mwanza cjui ni hospital gani yenye huduma nzuri?!!
 


ahsante ndugu, tunaangamia kwa kukosa maarifa!! najipa moyo kwa kuwa Mungu yupo.
 
Hayo ni mawazo ndo yanayokusumbua nenda hospitali mwelezee dr kama ulivyoeleza hapa yeye atajua akupime nini na akupe ushauri gani
 
rudi kapime baada ya window period kuisha

kumbuka pia stress ni mbaya zaid ya VVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…