sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,834
- 1,055
Ndugu wanajamvi nimeamua kulileta kwenu hili baada ya kukaa Kwa muda nikifikiria kinachotokea katika ardhi ya Pwani.
Mpaka sasa mauaji yanaendelea, mbaya zaid haijulikani. Nn sababu, lengo la muaji na Akina nani wanahusika.
Mwanzon tulihs labda ni viongoz Wa ccm walioshindwa katika uchaguz mkuu kipind cha kula za maoni na kuhisi kuwa wanilipa kisasi kwa watu waliokula pesa zao kipind cha kampeni kwan waliokua wanauawa walikua n viongoz walioshiriki katika kampen za uchaguzi.
Wakanza kuuwawa maofisa wa serikali na watumishi wengine wa serikali. Hili lilinabadilisha mtazamo na kuhis kuwa. Yawezekan kuna wafuas wa vyama vya siasa upande wa upinzani wanacheza huu mchezo lakini kulingana na mfululizo wa matukio umekua tofauti sana na unaonekana u atekelezwa na vikund vilivyokuwa na ujuzi Wa utekelezaj mauaji hii ni baada ya askar Saba wenye silaha kupigwa ambush na kuuwawa wote.
Kuna waliohis labda ni masalia ya wale magaid waliokua wakifanya matukio ya kuvamia vituo vya polisi kupora silaha ambao weng wao walikamatwa huku pwan maeneo ya bupu.
Lakini aina ya matukio po tofauti sana magaidi wa Bupu ingawa walikua na mafunzo na uwezo mkubwa walijitambulisha na walijulikana adhma yao pia walikua wanafanya operation zao Pwani na Dar es salaam.
Wasiwasi unazidi kuona wale watu waliokamatwa bupu walikutwa na zaid million 170 ni hela nying sana walizipata wapi hilo ni swali ambalo mm na wewe tujiulize. Mimi nahis kuna long plan ambayo ipo.
Hawa wanofanya haya kuna mtu kawatuma. Wacha nitoe stori moja kutoka movie moja ya kikorea inaitwa Chuno - The slave hunter;
Kuna mtu alitumwa akajifanya yeye ni mtumwa akaingia katika kundi la watumwa Kwa kuwadanganya kuwa inapaswa wapiganie haki zao wasikubali kunyanyaswa na mabossi wanaomiliki watumwa na serikali. Huyu mtu alifanikiwa kuwashawish watumwa wakawaua watu wengi mabosi na wanasiasa nchi iliingia katika machafuko na walipofanikiwa malengo Yao watumwa walioshiriki katika mauaji waliuwawa wote baada ya kuekewa mtego.
Funzo la hapa inawezekana ikaja kuwa kuna mtu akawatumia watu wenye msongo Wa mawazo na wale waliokata tamaa akawapa saport ya pesa nying na silaha ili watimize kile wanachohisi ni ukombozi kumbe wao wanapambana kumnufaisha mtu ambaye hawamjui hata kwa sura.
Mm siamini Kama watanzania tumeanza kuchukiana kias tuuwane sio CCM sio CHADEMA na sio CUF sio waislam na sio wakristo wote tuna upendo kwa kila mmoja ingawa raia sometimes tunawachukia polis lakin hakuna raia anamchukia polisi akataka polisi auwawe.
Ni akina nani Wanataka watanzania tuanze kuchukiana ili iweje je wanataka Tanzania iwe Kama nch nyingine za maziwa makuu. Je, tatizo n utajiri wa maliasili zilizogundulika kuanzia kiparanganda mpaka Rufiji inatafutiwa sababu mataifa dhalimu yajiingize?
Mimi nina wasiwasi kinachotokea Pwani ni zaid ya vile tujuavyo na si watanzania wanao ongoza haya matukio na sio swala la leo wala kesho kipo kinachotafutwa. Tuombe mungu kisitokee.