Nina hoja nyepesi tu kwa wachumi wenzangu

Nina hoja nyepesi tu kwa wachumi wenzangu

Abuu hanifa

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2021
Posts
256
Reaction score
275
Serikali inatumia karibu 1,000,000,000,000/- kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya serikali. Hii ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara ya watumishi.

Pesa hii sawa na pato ya siku 1 tu kwa kanda ya ziwa pekee iwapo itawekwa sh 100 kwa kilo moja ya unga wa dona/ sembe.

Inakadiriwa kanda ya ziwa INA zaidi ya watu mil 4 ambapo kila watu 4 hula kilo moja.

Hii ni sawa na 4,000,000*100*4,000,000÷4

=40,000,000,000,000/-

Mara arobaini ya makadirio.

Kama hilo ni sahihi manake eitha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma au kuna mianya mingi ya kupoteza pesa.

Wachumi watusaidie hili
 
Rudi shule maana hesabu inakupi chenga kabisa.
Ni watu 4,000,0000 x 100÷4 =100,000,000
Ni milion 100 tu ikiwa ina maana kwa mwezi ni 3 bilions na kwa mwaka 36 bilions.
Hiyo hapo juu ni TZS 1 tilion ambayo ni sawa na bilion 1000.
 
Nafaka inaitwa Trilion siyo Tilion. Hili kosa limekuwa kama utamaduni wetu watanzania.
 
Rudi shule maana hesabu inakupi chenga kabisa.
Ni watu 4,000,0000 x 100÷4 =100,000,000
Ni milion 100 tu ikiwa ina maana kwa mwezi ni 3 bilions na kwa mwaka 36 bilions.
Hiyo hapo juu ni TZS 1 tilion ambayo ni sawa na bilion 1000.

Mbona mahesabu yangu yako wazi.

Kuna vitu vitatu hapo tunaoambania.

Idadi ya watu = 4,000,000
Kilo za mahindi wanazotumia kwa siku wastani wa kilo moja kwa watu wanne.

4,000,000 ÷ 4= 1,000,000

Kodi kwa kilo = 100

Formular
Kodi* dadi ya Watu * kilo wanazotumia

100*4,000,000*1,000,000
= 400,000,000,000,000

Tunapata tri 400 na sio tena 40.

Wapi namekosea kiongozi
 
Idadi ya watu 4,000,000
Watu 4 wanatumia kilo 1
Hivyo watu 4,000,000 watatumia 4,000,000 ÷ 4= 1,000,000
Hivyo kwa siku hizo kg x kodi
1,000,000 x 100 = 100,000,000
Ni milion 100
Unaona unapokosea hata kama kila mtu angetumia kilo ingekuwa ni milion 400
 
Serikali inatumia karibu 1,000,000,000,000/- kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya serikali. Hii ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara ya watumishi.

Pesa hii sawa na pato ya siku 1 tu kwa kanda ya ziwa pekee iwapo itawekwa sh 100 kwa kilo moja ya unga wa dona/ sembe.

Inakadiriwa kanda ya ziwa INA zaidi ya watu mil 4 ambapo kila watu 4 hula kilo moja.

Hii ni sawa na 4,000,000*100*4,000,000÷4

=40,000,000,000,000/-

Mara arobaini ya makadirio.

Kama hilo ni sahihi manake eitha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma au kuna mianya mingi ya kupoteza pesa.

Wachumi watusaidie hili
Sijahakiki hayo mahesanu lakini jambo moja ni dhahiri. Kuna wizi mkubwa wa fedha za umma na kuna mianya mingi ya kupoteza fedha. Ndugu yangu wee ungejua fedha za serikali zinavyopigwa unaweza kuzimia. Karibu kila mtu ni mwizi na wanaiba kweli kweli. Mawaziri ndiyo kabisaaa! Ikulu nayo inafuja fedha za umma kama hawana akili nzuri. Tena kipindi hiki ndiyo mambo yamerudi kwa kasi kubwa sana sana. Nina uhakika angalau asilimia 80 ya mianya yote ingezibwa, baadaya miaka kumi tungekuwa mbali. Nakubaliana na yule beberu aliyekuwa anasema mwafrika hajafikia level ya kujitawala. Simply watawala hawajali wananchi hata kidogo.
 
Idadi ya watu 4,000,000
Watu 4 wanatumia kilo 1
Hivyo watu 4,000,000 watatumia 4,000,000 ÷ 4= 1,000,000
Hivyo kwa siku hizo kg x kodi
1,000,000 x 100 = 100,000,000
Ni milion 100
Unaona unapokosea hata kama kila mtu angetumia kilo ingekuwa ni milion 400
Uko sahihi.
Hoja yangu ya msingi hebu tujaribu kuumiza vichwa ili mwisho wa siku tuwe na hakika kuwa ni kweli Tz hatuna vyanzo vya mapato vitakavyoweza kujiendesha wenyewe?!?

Je makusanyo ya sasa ni zaidi ya kile kinachosemwa na kwamba kuna pesa zinaliwa bila ya sisi kujua

au asilimia kubwa ya watz hawalipi kodi na njia nyingi za ukwepaji serikali inapaswa ibuni na itekeleze bila kuongeza kodi kwenye vyanzo vya sasa

Kwa mfano huu niliojaribu kuueleza ili tuweze kukusanya mara mbili ya makusanyo ya sasa, yaani tufikie 4tri.

Tunahitaji product na service gani tuziimarishe.

Swali: Je kunawekano wa kupata takwimu za idadi ya product and service ngapi zinazoweza kukatwa kodi ya sh 100 ili tupate 4tri kwa mwezi.

Kwa mfano Ethiopia mwaka huu imeingiza

Ethiopia earned 658.1 million U.S. dollars from its exports of coffee, spices and tea during the first seven months of its 2021/2022, while
Tz sold for export fell to $10.2 of coffee beans.
Tukiangalia ripoti ya export kwa mfano dhahabu tuliyoambiwa itatuneemesha imeporomoka.

Hivi kwanini sisi watz tusijitambue kwanza na kujiita sisi ni wajinga, na kwamba viongozi wetu ni wakuu wa wajinga

Back
Top Bottom