Abuu hanifa
JF-Expert Member
- Aug 17, 2021
- 256
- 275
Rudi shule maana hesabu inakupi chenga kabisa.Serikali inatumia karibu 1,000,000,000,000/- kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya serikali. Hii ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara ya watumishi.
Pesa hii sawa na pato ya siku 1 tu kwa kanda ya ziwa pekee iwapo itawekwa sh 100 kwa kilo moja ya unga wa dona/ sembe.
Inakadiriwa kanda ya ziwa INA zaidi ya watu mil 4 ambapo kila watu 4 hula kilo moja.
Hii ni sawa na 4,000,000*100*4,000,000÷4
=40,000,000,000,000/-
Mara arobaini ya makadirio.
Kama hilo ni sahihi manake eitha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma au kuna mianya mingi ya kupoteza pesa.
Wachumi watusaidie hili
Nafaka inaitwa Trilion siyo Tilion. Hili kosa limekuwa kama utamaduni wetu watanzania.Rudi shule maana hesabu inakupi chenga kabisa.
Ni watu 4,000,0000 x 100÷4 =100,000,000
Ni milion 100 tu ikiwa ina maana kwa mwezi ni 3 bilions na kwa mwaka 36 bilions.
Hiyo hapo juu ni TZS 1 tilion ambayo ni sawa na bilion 1000.
Rudi shule maana hesabu inakupi chenga kabisa.
Ni watu 4,000,0000 x 100÷4 =100,000,000
Ni milion 100 tu ikiwa ina maana kwa mwezi ni 3 bilions na kwa mwaka 36 bilions.
Hiyo hapo juu ni TZS 1 tilion ambayo ni sawa na bilion 1000.
Idadi ya watu 4,000,000Mbona mahesabu yangu yako wazi.
Kuna vitu vitatu hapo tunaoambania.
Idadi ya watu = 4,000,000
Kilo za mahindi wanazotumia kwa siku wastani wa kilo moja kwa watu wanne.
4,000,000 ÷ 4= 1,000,000
Kodi kwa kilo = 100
Formular
Kodi* dadi ya Watu * kilo wanazotumia
100*4,000,000*1,000,000
= 400,000,000,000,000
Tunapata tri 400 na sio tena 40.
Wapi namekosea kiongozi
Sijahakiki hayo mahesanu lakini jambo moja ni dhahiri. Kuna wizi mkubwa wa fedha za umma na kuna mianya mingi ya kupoteza fedha. Ndugu yangu wee ungejua fedha za serikali zinavyopigwa unaweza kuzimia. Karibu kila mtu ni mwizi na wanaiba kweli kweli. Mawaziri ndiyo kabisaaa! Ikulu nayo inafuja fedha za umma kama hawana akili nzuri. Tena kipindi hiki ndiyo mambo yamerudi kwa kasi kubwa sana sana. Nina uhakika angalau asilimia 80 ya mianya yote ingezibwa, baadaya miaka kumi tungekuwa mbali. Nakubaliana na yule beberu aliyekuwa anasema mwafrika hajafikia level ya kujitawala. Simply watawala hawajali wananchi hata kidogo.Serikali inatumia karibu 1,000,000,000,000/- kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya serikali. Hii ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara ya watumishi.
Pesa hii sawa na pato ya siku 1 tu kwa kanda ya ziwa pekee iwapo itawekwa sh 100 kwa kilo moja ya unga wa dona/ sembe.
Inakadiriwa kanda ya ziwa INA zaidi ya watu mil 4 ambapo kila watu 4 hula kilo moja.
Hii ni sawa na 4,000,000*100*4,000,000÷4
=40,000,000,000,000/-
Mara arobaini ya makadirio.
Kama hilo ni sahihi manake eitha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma au kuna mianya mingi ya kupoteza pesa.
Wachumi watusaidie hili
Uko sahihi.Idadi ya watu 4,000,000
Watu 4 wanatumia kilo 1
Hivyo watu 4,000,000 watatumia 4,000,000 ÷ 4= 1,000,000
Hivyo kwa siku hizo kg x kodi
1,000,000 x 100 = 100,000,000
Ni milion 100
Unaona unapokosea hata kama kila mtu angetumia kilo ingekuwa ni milion 400