Nina idea ya kuitekeleza na makampuni ya simu, nianzie wapi?

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
Wapendwa katika bwana ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mambo yanaeda kama yalivyopangwa , Nina Idea nataka kuimplement na makampuni ya simu , je naanzia wapi ? just advice plz
 
Anzia kwangu. Ni PM abstract ya idea yako. Mimi nafanya kazi na kampuni moja wapo.
 
Wapendwa katika bwana ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mambo yanaeda kama yalivyopangwa , Nina Idea nataka kuimplement na makampuni ya simu , je naanzia wapi ? just advice plz

Moja, RUTUBA tafadhali usi PM huyo jamaa idea kirahisi hivyo atakuibia idea apeleke kama yake na utakuja kulia hapa.

Mbili, hao jamaa wa mitandao ni wezi wezi wezi wezi wa idea labda uwe ba mtu akuunganishe nao labda ndio watakuonea aibu kinyume na hapa utawaelezea idea yote then mwisho wa siku watasema hawajaipenda idea yako ukikaa mwezi mmoja utasikia matangazo redioni tayar wanatoa hiyo huduma, jamaa yangu yalimkuta.
 
Last edited by a moderator:
Basi atakufa nayo kichwani. Mimi ninge msaidia ku mlink na the right person kama ningeona ina faa.
 
Kwa kushea Utaibiwa tuu, labda uwauzie,tena utafute mfumo wa kuwaelezea kwa ufupi ila napo ni ngumu ila uckate tamaa
 
cha kwanza register hio idea yako, pili unapoenda kukutana nao record huo mkutano ili pindi wakitaka kukuzunguka unavielezo/ushahidi utakaokulinda na kukuletea malipo mazuti kabla kazi haijafanyika
muhim zaidi utakuwa umeweza kuti da idea yako 50%
 
Unaweza kuiregister na wakaitwist kidogo kukuibia.
Its either afe nayo au afanye kama risk kwenda nayo akiamini atakufa nayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…