Nina imani awamu hii ya Rais Samia hata ule Mfuko 'uliododa' kipindi cha Hayati Magufuli wa WAMA nao utarejea

Nina imani awamu hii ya Rais Samia hata ule Mfuko 'uliododa' kipindi cha Hayati Magufuli wa WAMA nao utarejea

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasili katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF), ulioanzishwa na Mama Anna Mkapa.

Chanzo: Azam TV

Mfuko wa WAMA niliupenda sana kwakuwa ulitufanya hasa kule Mashuleni na Vyuoni tusome na wenye Gridi ya Taifa.
 
Back
Top Bottom