TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Nov 6, 2010 #1 Kazi mliyoifanya wanaJF katika Uchaguzi wa mwaka huu (2010) ni ya kutukuka. Nina imani na wanaJF kuwa sasa tutaijenga Tanzania ya Amani ya kweli na Haki. Tusilegeze kamba katika kufanikisha hili.
Kazi mliyoifanya wanaJF katika Uchaguzi wa mwaka huu (2010) ni ya kutukuka. Nina imani na wanaJF kuwa sasa tutaijenga Tanzania ya Amani ya kweli na Haki. Tusilegeze kamba katika kufanikisha hili.