Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka na comment za wadauuu ni lazima tujue ipi ipo active ili tujitahadhari na mali zetu la sovyo wakat wa show mwanaume nisivue zote badala yake nichomoe dude tu akinimaind nitoke nduki...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
KAMA ZOTE ZPO ACTIVE, SI UJIINGZE? ME NACHOJUA MOJA HAIWI ACTIVE
Hata kama anazo zote active, atajiingizaje? Hilo la kwanza, la pili mtu hauwezi kujitekenya mwenyewe ukatekenyeka na kupata raha, lazima utekenywe na mtu mwingine ndiyo hilo tekenyo lifanye kazi.
 
Leta mbunye tunyoooshe..... hata ungekua nazo tatu.. mi nikiionaa nyuchi tu... show km kawa..... njoo inbox
 
Daaah sijawai kucheka tokea nijiunge JF. Leo nimecheka. Aiseee
 
Sasa unajiitaje mwanamke km jinsia zote zinafanya kazi
 
Haiwezekani kuwa zote active lazima moja iwe zaidi ya nyingine, uume utoe mbegu then mwisho wa siku upate hedhi ni suala haliwezkan.
 
Reactions: sab
Pole sana mpendwa kazi ya Mungu haina makosa, Mungu atakupa haja ya moyo wako.
 
Mimi mmoja nilisoma nae shule moja hivi lakini kwasasa hutamdhania tena maana tunapichana nae kwenye kufukuzia papuchi
 
Du
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…