Jipu(kwa lugha ya kitaalamu ABSCESS) ni mkusanyiko wa usaha ambao unaweza kutokea sehemu yeyote ya mwili.Hali hiyo mara nyingi huwa inasababishwa na maambukizo ya vijidudu aina ya bacteria ambavyo huingia sehemu ya mwili na kupambana na chembe za mwili(body cells) ambazo baadhi hufa nakutengeneza usaha(pus).Dalili zake ni pamoja na homa,sehemu lilipo jipu huwa imevimba,inauma na nyekundu.Matibabu yake huwa ni kupasua na kuto huo usaha(incision & drainage),antibiotics kuua hao wadudu wasababishao pamoja na dawa ya kutuliza maumivu.So ushauri wangu inabidi ukamuone tena Dr akufanyie kilichobaki(incision & drainage)