Nina jumla ya gunia 1,000 za pumba ya mahindi zenye ujazo wa debe saba @1. Natafuta soko

Nina jumla ya gunia 1,000 za pumba ya mahindi zenye ujazo wa debe saba @1. Natafuta soko

TZCHINA

Senior Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
126
Reaction score
153
Habari wana jamvi, natafuta soko la pumba za mahindi.

Kwa sasa nina jumla ya gunia 1,000 zenye ujazo wa debe saba kila moja.

Mahali: Kasulu Kigoma

Mawasiliano: +255 76 2 061 694

Ahsanteni sana.
 
Dunia ya sasa tangazo bila picha/video clip sw n takataka tu
 
Back
Top Bottom