ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,021
- 1,978
DELETED
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaa mdani ya miezi 4. Duu ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekiwa ametoka. Kwenye biashara huwa kuna mambo mengi. Utaweka mayai kwenye incubator only 70% yataanguliwa wakati wewe unapigia 100% yataanguliwa. 10% ya vifaranga vitakufa kabla ya kufika sokoni..and things like that.
So hapo umemsaidiaje...? Au umetaka kusema tu...!!!! Be helpful
Hahahahaaaaa mdani ya miezi 4. Duu ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekiwa ametoka. Kwenye biashara huwa kuna mambo mengi. Utaweka mayai kwenye incubator only 70% yataanguliwa wakati wewe unapigia 100% yataanguliwa. 10% ya vifaranga vitakufa kabla ya kufika sokoni..and things like that.
Hahahahaaaaa mdani ya miezi 4. Duu ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekiwa ametoka. Kwenye biashara huwa kuna mambo mengi. Utaweka mayai kwenye incubator only 70% yataanguliwa wakati wewe unapigia 100% yataanguliwa. 10% ya vifaranga vitakufa kabla ya kufika sokoni..and things like that.
Mtaji wa masikini ni nguvu zake MWENYEWE........Nimesajiri kampuni Serikalini nimeplan kujikita katika uzalishaji wa vifaranga aina zote, kwa eneo ninaloishi kuna uhitaji mkubwa sana wa hii bidhaa.
Vitu vikubwa nnavyohitaji ni incubator ya mayai 1050,kutia umeme kwenye jengo,alternative source of power ya kuendeshea incubator endapo umeme utakatika.
Pesa ya kununulia mayai,pesa ya kuagizia boxes kwa ajili ya kupack vifaranga na kuviuza.Ukinikopesha pesa nitarudisha ndani ya miezi mi4.Ukihitaji kujoin nakukaribisha pia.
Asanteni sana
Mtaji wa masikini ni nguvu zake MWENYEWE........
kuhusu pesa yako kurudi ndani ya miezi mi4 ni uhakika kwani nikishaanza biashara tu naenda bank kuomba mkopo.Huo mkopo ntaopata bank nakurudishia ww pesa yako nafanya hivi kwa sababu bank zina add mtaji kwa mfanyabiashara na si kutoa mitaji.
Unafikiria vyema. Nimependa sana mawazo jako. Keep going like that and good lucky.
kuhusu pesa yako kurudi ndani ya miezi mi4 ni uhakika kwani nikishaanza biashara tu naenda bank kuomba mkopo.Huo mkopo ntaopata bank nakurudishia ww pesa yako nafanya hivi kwa sababu bank zina add mtaji kwa mfanyabiashara na si kutoa mitaji.
Kukopa benki unahitajI dhamana.
Ndani ya miezi minne utapata wapi hiyo dhamana ya kwenda kukopea benki?
What if ikafika hiyo miezi minne ukashindwa kurudisha pesa ya watu na huko benki ukakosa mkopo?
Do you have any back up plan?
Upo wp? Nitafute omarymusa87@yahoo.com
Kukopa benki unahitajika uwe na dhamana.
Ndani ya miezi minne utapata wapi hiyo dhamana ya kwenda kukopea benki?
What if ikafika hiyo miezi minne ukashindwa kurudisha pesa ya watu na huko benki ukakosa mkopo?
Do you have any back up plan?
Ili benk ukope lazima ac yako ionyeshe transaction zako kwa miezi sita na mkopo unategemea transaction, hapo umechemka mkuu, Waza mkopo baada ya miezi 6, tena kuwe namzunguko mzuri

Dhamana Ndio Ina Matter Zaidi. Unaweza Ukafungua Akaunti Leo Na Kesho Ukapata Mkopo. Cha Msingi Ni Kuchagua Benki Yenye Masharti Utayoyaweza